Vikundi kutoka wadi 15 kutoka Kakamega vinatarajiwa kunufaika na ruzuku ya shilingi elfu 50,000

  • | NTV Video
    105 views

    Vikundi zaidi ya 900 kutoka wadi 15 katika Kaunti ya Kakamega vinatarajiwa kunufaika na ruzuku ya ulinzi wa kijamii ya shilingi elfu 50,000 kutoka kwa serikali ya kaunti hiyo, hafla ya uzindulizi uliendelezwa na Gavana Fernandes Baraza kwenye uwanja wa shule ya upili ya wasichana ya Musoli,

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya