Vikundi vyashinikiza KWS kufichua aliko Brian Odhiambo aliyetekwa ziwa Nakuru

  • | NTV Video
    675 views

    Vikundi tofauti vimejitokeza kushinikiza shirika la wanyamapori nchini (KWS) kueleza aliko Brian Odhiambo, baada ya kumteka nyara tarehe 18 Januari kwa madai ya kupatikana akivua samaki kwenye ziwa Nakuru.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya