Viongizi kaunti ya Trans Nzoia walalamikia kucheleweshwa kwa pesa ya mgao wa kaunti

  • | Citizen TV
    213 views

    Viongozi katika kaunti ya Trans Nzoia wamelalamikia kucheleweshwa kwa pesa ya mgao wa kaunti ambayo imeathiri pakubwa shuguli za maendeleo na ulipaji mishahara kwa wafanyikazi wa serikali. Viongozi hao wanasema hali si hali na kuitaka serikali ya kitaifa kufanya hima kwani huenda hudma zaidi ikaathirika kutokana na uhaba wa pesa