Viongozi nchini wafika kwenye ubalozi wa Vatican

  • | Citizen TV
    2,822 views

    Aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga na spika wa Bunge la Taifa Moses Wetang'ula ni baadhi ya viongozi waliofika katika makao ya ubalozi wa Vatican hapa Nairobi kutoa rambirambi zao kufuatia kifo cha Papa Francis mnamo Jumatatu