Viongozi Pwani waridhia ushirikiano wa Raila na rais Ruto

  • | KBC Video
    164 views

    Baadhi ya viongozi wa mashinani wa chama cha ODM katika eneo la Pwani wameridhia ushirikiano baina ya aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga na rais William Ruto kwenye masuala muhimu ya kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive