Viongozi wa kanisa wazidi kuwarai vijana kuzungumza na rais

  • | Citizen TV
    910 views

    Viongozi wa makanisa wamezidi kuwaomba vijana kujitokeza kwa mazungumzo na rais William Ruto ili kutatua suintafahamu Zilizoko.. kupitia chama cha makanisa na wahubiri nchini, viongozi hawa wanamtaka rais kuwaachilia waandamanaji wote waliokamatwa bila masharti yoyote ili kuwaonyesha vijana kuwa ana nia njema