Viongozi wa kaskazini mwa bonde la ufa waunga mkono juhudi za kumng'atua mamlakani Gachagua

  • | Citizen TV
    2,423 views

    Kijoto cha kisiasa kinazidi kupanda kutokana na juhudi za kumng'atua kutoka mamlakani naibu rais Rigathi Gachagua huku baadhi ya viongozi wa kaskazini mwa bonde la ufa wakitangaza kuunga mkono hoja hiyo