Viongozi wa kidini kule Malindi waisuta serikali kwa madai ya kuwateka nyara vijana

  • | Citizen TV
    394 views

    Viongozi wa kidini kule Malindi kaunti ya Kilifi sasa wamejitokeza na kuisuta vikali serikali kwa madai ya kuwateka nyara vijana.