Viongozi wa kidini wasema wakulima wananyanyaswa

  • | Citizen TV
    80 views

    Viongozi wa kidini katika kaunti ya Kakamega wanamtaka rais William Ruto kusuluhisha migogoro iliyopo kwenye sekta ya sukari katika eneo la magharibi