Viongozi wa kisiasa wakosoa vikao vya Bunge Mashinani

  • | Citizen TV
    305 views

    Wabunge kutoka kaunti ya Nyamira wamekosoa vikao vya bunge mashinani vinavyoendeshwa na spika Enoch Okero, licha ya mzozo wa uongozi unaoendelea katika bunge la kaunti hiyo