Viongozi wa makanisa wawataka wanasiasa kuheshimu madhabahu

  • | KBC Video
    35 views

    Baadhi ya viongozi wa kidini wameshtumu visa vya hivi majuzi vya vurugu na uharibifu vinavyoshuhudiwa makanisani. Makasisi wanasema mahali pa ibada ni takatifu na ni sharti paheshimiwe.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive