Viongozi wa makanisa ya Kipentekosti wataka malumbano kusitishwa

  • | Citizen TV
    305 views

    Viongozi wa makanisa ya Kipentekosti wanaonya kuwa huenda malumbano ya kisiasa yanayoshuhudiwa nchini yakasababisha mgawanyiko na kuhujumu utangamano wa kitaifa