3 Nov 2025 10:49 am | Citizen TV 681 views Duration: 2:09 Siasa za uchaguzi mdogo Wa eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi zinazidi kushika kasi huku viongozi wa ODM wakikita kambi katika eneo hilo Harrison Garama Kombe wa chungwa.