Viongozi wa Pwani wakashifu vikali mauaji ya Issack Jarso Delo Garsen

  • | NTV Video
    648 views

    Viongozi wa Pwani wamekashifu vikali mauaji ya mzee Issack Jarso Delo ambaye anadaiwa kuuawa katika kijiji cha Yakiicha, Garsen katika kaunti ya Tana River mnamo tarehe 30 Disemba na afisa wa KWS akiwa nyumbani kwake.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya