Viongozi wa Teso wametajwa kama wanafiki katika uongozi wa Kaunti ya Busia

  • | West TV
    39 views
    Viongozi wa jamii ya Teso katika kaunti ya Busia wametajwa kama wanafiki na wenzao wa jamii ya Luhya baada ya kuendeleza mjadala wa kutaka kuundwa kwa kaunti ya Teso. Baadhi ya viongozi sasa wanadai viongozi hao wana njama ya kusambaratisha uongozi wa Gavana wa Sasa.