Viongozi wa upinzani wakashifu miradi ya Rais Ruto Magharibi wakidai inahadaa wakazi

  • | NTV Video
    1,206 views

    Huku Rais William Ruto akiendelea na ziara yake katika eneo la Magharibi, viongozi wa upinzani wamekashifu vikali kile wanasema ni miradi ya maendeleo duni wakimlaumu kwa kuwahadaa wakazi wa eneo hilo wadhani wananufaika na maendeleo ila sio hivyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya