Viongozi wa vijana wa mlima Kenya wasema hakuna mungiki

  • | Citizen TV
    4,262 views

    Baadhi Ya Vijana Kutoka Mlima Kenya Sasa Wamemkashifu Naibu Rais Rigathi Gachagua, Kwa Matamshi Yake Kuhusu Mkutano Uliofanyika Hivi Majuzi Kaunti Ya Nyeri Uliyoongozwa Na Aliyekuwa Kiongozi Wa Kundi Haramu La Mungiki Maina Njenga. Vijana Hao Wanasema Mkutano Wao Ulikuwa Wa Maombi Na Amani Na Wala Si Wa Kupanga Vurugu Kama Alivyodai Gachagua.