Viongozi wa vijana watilia shaka madai ya utekaji nyara

  • | KBC Video
    418 views

    Baadhi ya viongozi wa vijana katika eneo la Mlima Kenya wametilia shaka muda wa matamshi ya hivi majuzi yaliyotolewa na waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi akihusisha huduma ya kitaifa ya ujasusi na taarifa ya kutekwa nyara kwa mwanawe mwezi Juni mwaka uliopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive