Viongozi wahusisha michezo katika kumaliza uhasama

  • | Citizen TV
    80 views

    Gavana wa Samburu Lati Lelelit, ameelezea Juhudi zake za kutumia michezo ili kuafikia amani baina ya jamii hasimu, ambazo zimekuwa zikizozana tangu jadi kuhusiana na swala tata la wizi wa mifugo