- 193 viewsDuration: 1:57Huku shughuli za uchimbaji wa mafuta katika Kaunti ya Turkana zikitarajiwa kuanza rasmi, baadhi ya viongozi wamejitokeza na kupinga hatua hiyo wakitaka serikali ijenge barabara ya Lami kutoka Lokichar kwenda Lokori na Kapedo hadi Chemolingot kabla ya shughuli hiyo kuanza rasmi.