Viongozi wajumuika kwa iftar Mombasa

  • | Citizen TV
    1,585 views

    Waziri wa madini na uchumi wa majini Ali Hassan Joho ametaka viongozi wa pwani kuzika tofauti zao za kisiasa na kutimiza ahadi walizoweka wakati wa kampeni.