Viongozi waonywa kuhusu njama ya kutatiza mazishi.

  • | Citizen TV
    1,875 views

    Mvutano wa kisiasa unazidi kuongezeka katika eneo la Magharibi kabla ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati