VIONGOZI WATOA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA PAPA FRANCIS

  • | K24 Video
    13 views

    Viongozi kote duniani wametoa risala za rambirambi kwa kanisa la katoliki kufuatia kifo cha Papa Francis. wakiongozwa na rais wa marekani Donald Trump, viongozi hao wamemkumbuka Papa Francis kama kiongozi aliyejitolea kuwahudumia waumini wengi na aliyependa amani.