Viongozi watoa wito kwa serikali kuimarisha bima ya SHA

  • | KBC Video
    57 views

    Utekelezaji wa mpango wa bima ya afya ya jamii uliangaziwa leo huku baadhi ya viongozi wa kisiasa na kidini wakikariri wito wao kwa serikali ilainishe mpango huo, na kutatua dosari zilizopo zinazotishia utoaji huduma za afya kupitia bima hiyo ya afya. Wasiwasi huo uliibuliwa wakati wa misa ya wafu kwa marehemu mbunge wa Malava Malulu Injendi ambaye uongozi wake katika elimu na usimamizi, ulitambuliwa na wengi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive