Visa-5 vipya vya Mpox vyanakiliwa Kericho, Taita Taveta

  • | KBC Video
    4 views

    Wizara ya afya imethibitisha visa vingine vitano vya ugonjwa wa homa ya kima al-maarufu mpox humu nchini na kufikisha jumla ya visa vilivyothibitishwa kuwa 36. Katibu wa idara ya afya ya umma Mary Muthoni alisema baadhi ya maambukizi hayo mapya yamenakiliwa katika kaunti za Kericho na Taita Taveta na kufikisha idadi ya kaunti zilizonakili maambukizi ya ugonjwa huyo kuwa 12.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive