Visa viwili vipya vyaripotiwa katika kaunti za Kericho na Taita Taveta

  • | KBC Video
    8 views

    Kenya imesajili visa viwili vya ugonjwa wa Monkey Pox na kufikisha 33 idadi jumla ya visa hivyo tangu kuzuka kwa ugonjwa huo humu nchini .Visa hivyo viwili viliripotiwa katika kaunti za Kericho na Taita Taveta

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive