Visa vya mimba za mapema miongoni mwa wasichana nchini

  • | K24 Video
    7 views

    Kenya imeandikisha asilimia 27.4 ya visa vya mimba za mapema miongoni mwa wasichana wenye umri wa kati ya miaka 15 na 18, ila hali hiyo ilikuwa mbaya zaidi wakati wa covid-19 ambapo asilimia 20% ya wasichana walipachikwa mimba , huku kaunti ya Narok, Kajiado, na Turkana zikirekodi idadi ya juu zaidi ya visa hivyo.