- 12,747 viewsDuration: 2:20Visa vya wizi vinaendelea kushuhudiwa hapa Nairobi na viunga vyake huku wahalifu sasa wakitumia mbinu mpya kutekeleza wizi huo. Majambazi hawa wakitumia magari ya kifahari kuingia katika baadhi ya mitaa na kuiba kutoka kwa wakazi ambao hawako nyumbani