Visiwa wanavyoishi pengwini vyakumbwa naushuru wa Trump.

  • | BBC Swahili
    1,440 views
    Ushuru wa biashara wa kimataifa wa Trump umefikia baadhi ya maeneo ya kushangaza ikiwa ni pamoja na Visiwa vya Heard na McDonald, ambavyo vinakaliwa na pengwini na wanyama wa baharini pekee. - Eneo hili la mbali la Australia liko katika Bahari ya Kusini, kilomita 1,630 kutoka Antarctica na litakutana na ushuru wa 10%, licha ya ukweli kwamba hakukuwa na biashara na Marekani mwaka jana. - - #bbcswahili #marekani #ushuru #uchumi #trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw