Vuguvugu la kutetea Demokrasia nchini latetea uhusiano wa Ruto na Raila

  • | TV 47
    36 views

    Vuguvugu la kutetea Demokrasia nchini latetea uhusiano wa Ruto na Raila.

    Wamesema muungano wa wawili hao utaboresha uchumi wa taifa.

    Wamesema lengo lao kuu ni kutetea ugatuzi nchini.

    Wamependekeza kubadilishwa kwa sheria ya matumizi ya NG-CDF.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __