Vuta nikuvute kuhusu usimamizi wa bunge unashuhudiwa

  • | Citizen TV
    155 views

    Kundi la Waakilishi wadi katika Bunge la Kaunti ya Machakos limeapa kupinga vikali hoja ya kumng'atua Spika wa bunge hilo Anne Kiusya