Vyama vya UDA na ANC vyaungana

  • | KBC Video
    24 views

    Chama cha United Democratic Alliance kimeungana na kile cha Amani National Congress kubuni chama cha United Democratic. Mwenyekiti wa UDA Cecily Mbarire alitangaza kwamba gavana wa Lamu Issa Timamy, ambaye alikuwa kiongozi wa chama cha ANC, atakuwa naibu kiongozi wa chama hicho kipya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive