Vyombo vya habari kuhimizwa kutoa taarifa sahihi kuhusu mpango wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu

  • | KBC Video
    7 views

    Wadau katika sekta ya ujenzi wamehimiza vyombo vya habari kuangazia taarifa sahihi na deta ili kuziba pengo la ukosefu wa ufahamu kuhusu mpango wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu. Wadau hao wanasema hatua hiyo itaongeza ufahamu, kubadili dhana na kuwamotisha wananchi kukumbatia mpango wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive