Vyuo vikuu sasa vyatakiwa kuwaruhusu wanafunzi

  • | Citizen TV
    236 views

    Serikali sasa inasema wanafunzi wote wanaotarajiwa kuripoti vyuo vikuu wataanza masomo yao licha ya baadhi yao kutokuwa na uwezo wa kulipia gharama zilizosalia. Waziri wa elimu Julius Migos amewaagiza manaibu chansela wa vyuo vikuu kuwasajili wanafunzi wote na kuwasaidia kupata makapo, hata wanaposubiri fedha zao kulipwa. Agizo hili likijiri huku serikali ikitangaza kutolewa kwa mgao wa shilingi bilioni nane kwa ufadhili na mikopo