Waandamanaji 20 wafikishwa mahakamani Eldoret

  • | Citizen TV
    5,470 views

    Takriban waandamanaji ishirini wamefikishwa mahakamani hii leo, kujibu mashtaka ya uharibifu wa mali wakati wa maandamano yaliyoshuhudiwa nchini wiki iliyopita. Haya yanajiri, huku idara ya upelelezi, ikiwaomba wakenya kuwasaidia kuwanasa washukiwa wengine ambao walivunja sheria wakati wa maandamano hayo. Mashirika ya kijamii nayo yameendelea kuwashutumu maafisa wa polisi kwa mauaji ya waandamanaji