Waandamanaji kadhaa wakamatwa jijini Nairobi

  • | KBC Video
    508 views

    Waandamanaji kadhaa walikamatwa leo katika eneo la kati kati ya jiji la Nairobi baada ya polisi kuzima jaribio lao la kuandamana hadi majengo ya bunge na afisi ya rais kuwasilisha rufaa ya kudai haki kwa wale waliouawa wakati wa maandamano dhidi ya serikal. Maandamano ya leo yalinuiwa kuwakumbuka wale waliopoteza maisha yao wakati wa maandamano yaliodumu kwa mwezi mmoja. Joseph Wakhungu alifuatilia matukio hayo na kunakili taarifa hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive