Waandamanaji wakabiliana na polisi Nairobi

  • | KBC Video
    76 views

    Waandamanaji waliokuwa wakipinga mswada wa fedha wa mwaka 2024 walikabiliana na polisi katikati ya jiji la Nairobi wakiutaja kuwa uliopita na wakati na unaowaadhabi raia. Mipango ya waandamanaji hao ilikuwa kuingia majengo ya bunge lakini juhudi zapo ziliambiulia patupu pale walipozuiliwa na maafisa wa polisi walioshika doria katika barabara zote kuu za jiji zinazoelekea bungeni. Lakini tofauti na maandamano ya awali dhidi ya serikali wakati huu wanasiasa hawakuonekana. Kama vile mwanahabari wetu Timothy Kipnusu anavyotuarifu waandamanaji wamewaonya wabunge dhidi ya kupitisha mswada huo wakisema wanahatarisha kuchaguliwa kwao tena bungeni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive