8 Sep 2025 1:37 pm | Citizen TV 5,740 views Duration: 1:55 Watu watano wamekamatwa akiwemo Mwakilishi wadi wa shanzu Allan Katana baada ya jaribio la kufanya maandamano hadi afisi za Gavana wa Mombasa abdulswamad Sharif Nassir kutibuka.