Waandamanaji wavamia bunge Kenya

  • | BBC Swahili
    1,539 views
    Watu kadhaa wamepigwa risasi nchini Kenya, huku waandamanaji wakiingia katika maeneo ya bunge la nchi hiyo. Makumi kwa maelfu ya Wakenya wamekuwa wakiandamana mjini Nairobi tangu asubuhi ya leo, huku maandamano sawia yakifanyika katika miji na majiji mengine kote nchini humo. #bbcswahili #kenya #maandamano ubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw