Waandamanaji wawaua polisi na ghasia za uchaguzi zikizidi Msumbiji

  • | BBC Swahili
    325 views
    Waandamanaji katika jimbo la kaskazini la Nampula nchini Msumbiji wamewaua takriban maafisa watano wa polisi katika mji wa Namapa, akiwemo mkuu wa operesheni ambaye alihamishwa hivi karibuni kutoka mji mkuu wa Maputo. #bbcswahili #msumbiji #mupito Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw