- 23 viewsKatika mji wa Goma, kundi la waandishi wa habari wa Congo wanakabiliana na habari potofu chungu nzima kuhusu afya na matibabu, ambazo ni hatari kubwa sana kwa umma. Katika eneo linalopambana na changamoto za afya na kukumbwa na vita, waandishi wa kubaini habari za uongo katika jarida la Eleza ukweli, wanatafuta habari za ukweli kuhusu fikra zinazoambatana na ugonjwa mpox ambao awali ulikuwa unajulikana kama ugonjwa kutoka kwa nyani. Habari za uongo zinasema kwamba ugonjwa huo haupo kabisa na kwamba yanayosemwa ni upele tu ambao hauna madhara. Aline Kataliko anasema kazi yao ni muhimu sana kwa afya ya umma na katika kujenga imani katika jamii. Aline Kataliko wa Eleza Fact: 'Kuna uvumi kuhusu mpox, unaosema kwamba lengo la chanjo ni kuondoa kizazi cha raia wa Congo. Tunaangazia hatari za uvumi huo na namna unavyoweza kuathiri jamii yote kwa jumla na kuzuia juhudi za kumaliza maambukizi." Habari Potofu Tangu mwaka 2021, waandishi wa habari 25 katika jarida la Eleza ukweli, akiwemo Joel Alimasi Kitambala, wamekuwa wakiangazia na kueneza habari kuhusu hatari za habari potofu. Joel Alimasi Kitambala ni mwandishi wa habari katika Eleza Ukweli. Joel Alimasi Kitambala wa Eleza Fact: Kutambua ukweli, tunatumia maneno muhimu na kila wakati kuna chapisho ambalo lina maneno hayo, tunapata taarifa kuhusu chapisho hilo. Kama kuna hja ya kuchambua jarida hilo, waandishi wa kutafuta ukweli wanapewa jukumu wanaolifanyia kazi. Makala yanayochapishwa na Eleza ukweli, yanachapishwa kwenye wavuti, na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kutangazwa kwenye vituo vya radio ili kuwafikia wale wasiotumia internet. Taarifa za Uongo juu ya Afya na Tiba Kuna taarifa nyingi za uongo kuhusu afya na tiba kama taarifa zilizotolewa kuhusu mpox. Mwandishi wa habari Joylen Kazimoto aliripoti kuhusu habari potofu kuhusu virusi vya Corona kwa kutumia njia ya internet - podcast. Joylen Kazimoto ni mwandishi wa Eleza ukweli. Mwandishi wa habari Zanem Nety Zaidi ameandaa ripoti ifuatayo kutoka Goma, DRC. Inasomwa na Kennes Bwire. #habaripotofu #drc #goma #waandishi #voa #voaswahili
Waandishi waeleza mbinu wanazotumia kukabiliana na habari potofu na usambazaji
- 19 Dec 2024 - Nairobi Governor Johnson Sakaja has expressed confidence that the county's longstanding water shortage will be resolved within the next two years.
- 19 Dec 2024 - Nairobi Governor Johnson Sakaja has absolved himself from blame over the current dilapidated state of the majority of roads in the county.
- 19 Dec 2024 - With just two weeks before the 2025 school calendar begins, education stakeholders and parents alike are raising the red flag over the level of preparedness by the government on the Grade 9 transition.
- 19 Dec 2024 - The Kenya Forest Service (KFS) and the National Environment Management Authority (NEMA) have moved to effect a decision to suspend licenses they issued to a private developer for a golf course and a restaurant in Ngong Forest.
- 19 Dec 2024 - Hundreds of shoeshiners across Nairobi yesterday woke up to a rude shock after they found their businesses demolished by the Nairobi County Government. The demolition is said to have taken place overnight overseen by acting County Secretary Godfrey…
- 19 Dec 2024 - The Public Service Commission (PSC) has drawn attention to the concerning actions of an individual fraudulently presenting himself as an official of the agency and falsely offering placements in the Public Service Internship Program (PSIP).
- 18 Dec 2024 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has hinted at a political alliance with Wiper Party leader Kalonzo Musyoka, stating that Kalonzo has proven to be an ally of the mountain in difficult times and, as such, the mountain shall return the favour at…
- 18 Dec 2024 - A section of Meru Members of the County Assembly (MCAs) have expressed their frustration and disappointment following a High Court ruling on Wednesday that extended Governor Kawira Mwangaza’s stay in office.
- 18 Dec 2024 - Squatters claiming ownership of the East African Portland Cement Company (EAPCC) land in Mavoko, Machakos County, are calling on the government to investigate allegations of corruption and bribery that they claim have marred the ongoing land…
- 18 Dec 2024 - Daystar University has rescinded a deal it signed with the Israel Embassy in Kenya on Monday which would have seen the Asian nation plant over 5,000 indigenous trees at the institution's main campus in Athi River, as part of a collective ecosystem…