#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Watu wanaoishi na virusi vya HIV nchini wamefanya maandamano ya amani jijini Nairobi, wakitoa wito kwa serikali kuimarisha huduma za ugonjwa huo na kuzijumuisha kwenye mpango wa Bima ya Afya ya Jamii (SHA). Wamesema hatua hiyo ni muhimu hasa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kusitisha ufadhili kwa baadhi ya huduma za HIV mapema mwakani, hali inayohofiwa kuathiri upatikanaji wa dawa na huduma muhimu za kiafya kwa maelfu ya Wakenya. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews