Waathiriwa waendelea kukadiria hasara Kaunti ya Nairobi

  • | Citizen TV
    1,503 views

    Watu kadhaa walioathirika kwenye vurugu zilizoshuudiwa baada ya mikutano ya Rais Ruto hapa jijini Nairobi wangali wanakadiria hasara kutokana na uhalifu uliotokea