Wabunge 10 watuhumiwa kwa kueneza chuki

  • | KBC Video
    205 views

    Tume ya kitaifa ya uwiano na utangamano imependekeza kukamatwa na kushtakiwa kwa wabunge 10 kwa madai ya matamshi ya chuki.Tume hiyo inayoongozwa na Samule Kobia inasema imekamilisha uchunguzi dhidi ya wabunge hao na kukabidhi faili zao kwa idara ya upelelezi ya jinai-DCI.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive