Wabunge kutoka eneo la Kaskazini Mashariki wanatoa taarifa

  • | Citizen TV
    1,387 views

    Wabunge kutoka eneo la Kaskazini Mashariki wanatoa taarifa kwa wanahabari kwa sasa bungeni kuhusu kuondolewa kwa msasa kabla ya wakazi wa maeneno ya mipakani kupewa vitambulisho vya kitaifa