Wabunge wa kaunti ya Kericho wawasilisha hoja dhidi ya gavana wao

  • | KBC Video
    35 views

    Hatma ya kisiasa ya gavana wa kaunti ya Kericho Erick Mutai sasa iko mikononi mwa wanachama wa bunge la kaunti hiyo kufuatia kuwasilishwa katika bunge la kaunti hiyo hoja ya kujadili mienendo yake.Hoja hiyo iliyowasilishwa na mwakilishi wa wadi ya Sigowet Weldon Rogony, inamshutumu gavana huyo kwa kukiuka katiba, matumizi mabaya ya mamlaka na makosa yanayohusiana na dhuluma za kimapenzi. Kiongozi wa walio wengi Philip Rono alisema gavana huyo ana muda wa siku saba kujibu madai hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive