- 59 viewsKati sehemu ya pili ya Makala ya uchezaji kamari unaoongezeka nchini Zambia, waatalam wa Saikolojia wanaeleza jinsi wanavyotumia matibabu ya utoaji nasaha na tiba kuwanusuru watu walioingia katika uraibu wa kucheza kamari. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Wacheza kamari waratibiwa Zambia
- 27 Feb 2025 - The Port of Lamu is set for more activity following agreements between Kenya and neighbouring countries to increasingly use it as a regional transshipment hub.
- 27 Feb 2025 - Mombasa Governor Abdullswamad Sheriff Nassir has launched a heated battle against Kenya Power, accusing the state corporation of disregarding county governments’ revenue collection mandates.
- 27 Feb 2025 - Residents of Matungu village in Kakamega took to the streets on Thursday to protest a rise in crime incidents that have occasioned injury and loss to them.
- 27 Feb 2025 - Former Nyandarua County Governor Daniel Waithaka and five other officials of the devolved unit, charged in a Ksh.50 million corruption case, will know their fates on Thursday, March 13, 2025.
- » Gachagua calls out Ruto over 'culture of lies', accuses him of destroying education and health systems27 Feb 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has once again launched a barrage of attacks against his former boss, President William Ruto for perpetuating a culture of lies and misplacing Kenyans' needs.
- » Gachagua calls out Ruto over 'culture of lies', blames him for destroying education and health systems27 Feb 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has once again launched a barrage of attacks against his former boss, President William Ruto for perpetuating a culture of lies and misplacing Kenyans' needs.
- 27 Feb 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has called out President William Ruto's administration for using state services to settle personal scores following his recent remarks against the incumbent government.
- 27 Feb 2025 - The Council of Governors (CoG) has raised concerns over what it describes as Kenya Power's “unchecked power” in handling disputes with county governments.
- 27 Feb 2025 - The ongoing crisis in the health sector is worsening by the day, with reports revealing that Kenya is running low on ARVs, weeks after the United States Agency for International Development (USAID) ceased its funding to the sector.
- 27 Feb 2025 - Two people including a nightclub supervisor and shisha seller were arrested on Wednesday night in a crackdown by the National Authority for the Campaign Against Alcohol and Drug Abuse (NACADA at a popular entertainment joint in Nairobi.