Wachezaji gani waliowahi kupita Simba na Yanga za Tanzania?

  • | BBC Swahili
    1,125 views
    Wakati mashabiki wa Soka wakisubiri kwa hamu kuangalia Dabi ya Kariakoo yapo mengi ya kusisimua juu ya dabi hii @bosha_nyanje ameangazia baadhi ya wachezaji waliowahi kupita Simba na Yanga kwa nyakati tofuati #bbcswahili #tanzania #soka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw