Wachezaji soka chini ya miaka 17 waingia kambini kwa mechi ya kufuzu Kombe la Dunia

  • | Citizen TV
    453 views

    Wachezaji 31 wa timu ya taifa ya soka vijana chini ya umri wa miaka 17, Junior Starlets wameripoti kambini huku zikiwa zimesalia siku kumi tu kabla ya mechi ya mkondo wa kwanza dhidi ya Ethiopia, kwenye raundi ya tatu ya kufuzu kwa kombe la dunia la vijana chini ya umri wa miaka 17.