- 41 viewsMajeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yanasema kuwa yamezima jaribio la mapinduzi mapema Jumapili na kuwakamata wahalifu, wakiwemo raia wa kigeni kadhaa. Hii ilifuatia mashambulizi yaliyofanywa katika kasri ya rais na makazi ya mshirika wa karibu wa Rais Felix Tshisekedi ambapo watu watatu waliuawa katika mji mkuu, Kinshasa. Sita kati ya hao waliouawa ni pamoja na washambuliaji watatu na kiongozi wao, kiongozi wa upinzani aliyekuwa anaishi ughaibuni Christian Malanga, msemaji wa jeshi la Congo Brigedia Jenerali Sylvain Ekenge aliwaambia waandishi wa habari Jumapili usiku, akiongeza kuwa wahalifu takriban 50 walikamatwa. Video hiyo inaonyesha watu kadhaa wa Congo ambao hakutambulishwa, wanaoshukiwa kuhusika katika kile jeshi la ulinzi ilichosema kilikuwa ni mapinduzi yaliyofeli, wakiwa wamezingirwa na wanajeshi wa Congo. Wamarekani wawili, wanaoshukiwa kuhusika katika kile jeshi ilichosema ni mapinduzi yaliyofeli, wakiwa chini wamezungukwa na wanajeshi wa Congo (mtoto raia wa Marekani wa Christian Malanga katika picha ya chini, iliyozungushiwa duara jekundu). #mapinduzi #drc #jeshi #wanamgambo #felixtshisekedi #voa #voaswahili #christianmalanga #jenerali #sylvainekenge #congo #rais #felixtshisekedi
Wamarekani 2 washukiwa wa jaribio la mapinduzi wakamatwa DRC
- - Duniani Leo ››
- 28 Nov 2024 - Democrat Kamala Harris came in for a deluge of mockery by Republicans and right-wing US media Wednesday after the release of a short video clip from her first public comments since losing to Donald Trump.
- 28 Nov 2024 - Israel told the International Criminal Court on Wednesday that it will appeal against arrest warrants for Prime Minister Benjamin Netanyahu and his former defence minister.
- 28 Nov 2024 - US President-elect Donald Trump announced Wednesday that he was nominating staunch loyalist and retired general Keith Kellogg as his Ukraine envoy, charged with ending the two-and-a-half-year Russian invasion.
- 28 Nov 2024 - Bill was brought to the House following the Gen-Z-led protests in June and July.
- 28 Nov 2024 - Aviation industry wants say in JKIA upgrade after Adani cancellation
- 28 Nov 2024 - I considered killing my violent husband, woman says
- 28 Nov 2024 - Mothers cry for justice, call for ethical reporting
- 28 Nov 2024 - How ocean alliances have shaped the shipping industry
- 28 Nov 2024 - Urban exodus: Kenyans flee congested cities for rural areas
- 28 Nov 2024 - Former Lands Commissioner Gachanja seeks relief from court for his 'never-ending' cases